Watangazaji hawa ni wakupongezwa

motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,019
705
Kwanza ni huyu kijana anayeendesha kisa na mkasa pale eatv, sijashika jina lake, anatafuta watu waliogombana wakanuniana miaka anawapatanisha. Pongezi za pekee kwake huu ndo ubunifu unaojenga jamii.
Mwingine huyu wa clouz hook up kwenye kipindi cha diva japo amebase kwenye mapenzi apongezwe pia kwa kupatanisha waliogombana, hiki pia ni kipaji kuhangaikia matatizo ya watu.
Hawa vijana wapongezwe ata kwa makofi pia kama kuna wengine wenye vipindi vya kujenga tuwapongeze pia.
 
Back
Top Bottom