frajomedia
Member
- May 1, 2016
- 35
- 7
Lengo la show ni kuhamasisha jamii kuhusu maendeleo na kuibua fursa hasa kwa Mkoa wa Kagera ambapo kwa takwimu ni mojawapo ya mikoa duni pamoja na kuwa na wasomi wengi,pia kipindi kinalenga na watanzania wote kuna mambo mengi ya kujifunza.Unaweza kuangalia baadhi kupitia youtube kwa kusearch frajo media
pia kuna na vipindi vya kusaidia wasanii kwa kuwatangaza
pia kuna na vipindi vya kusaidia wasanii kwa kuwatangaza