MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Ile panga pangua katika masuala ya redio bado inaendelea, wakati Magufuli akieendelea kuwachomoa watu na kusubiria kupangiwa kazi nyingine nao mabosi wa clouds wameendelea kuwachomoa watu kadhaa huku wakisubiria kupangiwa kazi nyingine,wakati huohuo wakiletwa wengine kuziba mapengo, yule dada wa the cruise ya EA radio mwanadada Mamy barbie na dj wake Sinyorita leo wametua rasmi XXL.
Huo ni uchokozi mwingine ndg Ruge ambao ameufanya dhidi ya EA radio baada ya kumuibia Joji Bantu na mwenzie
Huo ni uchokozi mwingine ndg Ruge ambao ameufanya dhidi ya EA radio baada ya kumuibia Joji Bantu na mwenzie