Ngoma ya Waswezi inapatikana wapi Tabora?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu, kama mnavoona siku hizi hakuna matamasha yanayoshirikisha vikundi vya ngoma za asili kama zamani hivo kuhatarisha utamaduni wetu. Mie ni mpenzi wa ngoma za Kiswezi lakini sizioni zikipigwa mkoani Tabora, hivi wapo kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom