orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 757
- 773
Samahani wakuu. Naomba mwenye wimbo mmoja wa kitanga unaitwa 'Nimdodo' afanye kuuweka hapa jukwaani watu tupate kuburudika. Nimejaribu kuutafuta mtandaoni bila mafanikio yoyote. Waume mnanao haiyahiyaa, wahaya mnanao haiyahiyaa.... Noma sana! Msaada wakuu..!!