Bizzmc
Senior Member
- May 2, 2016
- 187
- 184
Kweli bongo movies badala ya kusonga tunarudi nyuma saaana hiyo ni movie Flan ya action ila ukiangalia utacheka sana hivi why tunafeli kuandaa movie za kimataifa vituko tu jambaz bila koti kubwa miwani mieusi na aongee kwa ukali au sura mbaya yaaan pumba tu bora niangalie katoon sjui why tunashindwa kusonga tatizo nini jamani?