Well I don't really care what people say...
I don't really watch what them want to do...
Still I got to stick to my girls like glue...
Damn! Damn! Damn! I miss the 2000s. Sean Paul was the...
Kizuri husifiwa...
wandugu huu wimbo wa mwanadada mauwa sama ama kweli ni mzuri, pongezi kwako msanii wetu kitu bora,nzuri,inavutia kusikilizwa,beat imetulia.
pongezi pia kwa alietengeneza beat...
1.Tatyana Kozhevnikov
Ni mrusi ambae anacheza michezo ya sarakasi alievunja rekodi ya guiness,ana uwezo wa kubeba mpka kilo kumi na sita 16kg kwa kutumia sehemu zake za siri alifanya ivyo kwa...
Let pretend that Tupac Shakoor is really dead. Haya ndio maajabu makuu mawili kuhusu kifo chake.
1. HE WAS KILLED BY A MAN WHO LOOKS LIKE HIM.
Orlando Anderson , (...
Tupac kama tumjuavyo wote ni mmojawapo wa wataalam wa hip hop na Rap kwa pamoja ambaye hajawahi kutokea. Swali la burudani ni kuwa kama ni fan wake, je nyimbo gani ya 2pac unai-feel na reason it...
Rapper Kala Jeremiah ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Wanandoto”, amemshirikisha Mtoto wakike anaye itwa Miriam Chirwa, Video imeongozwa na Pablo.
Soma:Jay Moe Afunguka kuhusu kutoka...
Nataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!
Lakini nilitaka ushauri nifanyeje jinsi ya kuuza hyo series baada ya kuimaliza niweze...
Msanii Roma mkatoliki leo kaachia ngoma yake mpya ambayo kawashilikisha Darasa & Jose mtambo ngoma imefanyika tongwe record jina la ngoma ni KAA TAYARI, kiukweli ngoma iko poa jamaa wanajua sana...
Anaitwa Anna Swan alitokea canada,lakini alifariki mwaka 1888 akiwa na miaka 41. Alikuwa ni Jitu(Giant) maana akiwa na miaka 11 tu alkua na kilo 96 akiwa amezidiwa na mama yake urefu wa inchi...
Wimbo mpya wa Juma Nature unaitwa Mtumba, ni moja ya ngoma ambazo zina asili f'lan ya muziki wetu. Kifupi naweza kusema huyu ndiye mkongwe Juma Nature ninayemfahamu tangu miaka 15 nyuma...
Kuna tatizo gani wadau maana naona Clouds fm Radio hapa Shinyanga haipatikani hewani kwa zaidi ya wiki sasa. KpKama kuna tatizo, litaisha lini?Uongozi una taarifa hizo? Au ndio imeanza kufilisika...
Bila shaka ukiambiwa utaje orodha za lebo kubwa za muziki barani Afrika, huwezi kuacha kuitaja WCB inayomilikiwa na mkali Diamond Platinumz wa hapa Bongo.
Kwa mwaka 2016, mbali na Diamond kutoa...
Hi all, this thread is specifically for the purpose of spreading as well as preserving the legacy of the late 2Pac Shakur, who to me was and still is the greatest poet, activist, actor, singer...
Niko youtube naangalia baadhi ya video chache za mwendokasi festival.... naona kama wamekula za uso maana watu ni wachache tofauti na matangazo na mategemeo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.