Denzel Washngton bado yumo

mareeTZ

Senior Member
Jun 4, 2015
171
179
Jana nimecheki movie moja la jamaa linaitwa THE EQUALIZER yani unyambisi aloonesha humo hadi mtu unasisimka yani, jamaa kacheza vizur sana yani mtu unawekewa stopwatch na kuesabiwa muda wa kuadhibiwa yani dah kwa wapenzi wa movie za action na UBABE mwingi tafuteni hili picha
 
Jamaa ni moja kati ya watu wachache sana ninao wakubali ,ana sense of humor fulani hivi kimuvi muvi ,sasa sijui kwenye maisha ya kawaida yukoje
 
Jana nimecheki movie moja la jamaa linaitwa THE EQUALIZER yani unyambisi aloonesha humo hadi mtu unasisimka yani, jamaa kacheza vizur sana yani mtu unawekewa stopwatch na kuesabiwa muda wa kuadhibiwa yani dah kwa wapenzi wa movie za action na UBABE mwingi tafuteni hili picha
Hivi hii movie nzur hii..ninayo kwenye PC kama mwez hivi cjawahi icheki
 
Ni movie kali sana niliiona toka mwaka jana.Yani Denzel na Idris Elba hata kama movie zao sichokagi kuziangalia
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom