Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Alichokifanya Ruby mimi kwangu ni kama ushujaa. Tatizo ambalo watu wengi wana mlaumu ni kwamba umri alio nao ndani ya sanaa hakustahili kufanya hivyo kwani ni mapema. Mimi binafsi naona ni mda sahihi kwani unapoona unaonewa haijalishi ni umri gani unao ili ureact, kitu nacho kiona hapa ni kwamba wasanii wengi hupata malipo kiduchu lakini huogopa kufunguka coz watakosa airtime, ninacho mshauri mdogo wangu Rubby kama uneamua kuyatapika matapishi kamwe usiyarudishe mdomoni kwani tutakuzarau, mimi kwa ushauri tu mfuate dada yako Jide akupe muongozo jinsi ya kupambana bila kutegemea hao wanyonyaji……. NAWAKILISHA ,, WAWEZA COMMENT ..