Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,313
- 3,001
Season 2 imepoa sana. Haina mvuto haina story yenye mashiko. Yaani inaruka ruka tu imelala haina pumzi,imejichokea,inapumua kwa shida sana hii series.sijui kama itaendelea tena... Ikiwa hawatabadilika. Wala usiombee kuitizama.