Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili kubwa hufikiri sawa sawa.’ Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila ya wasanii husika kulitambua hilo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Fiesta inawaunganisha wasanii mbalimbali kwa mikoa mbalimbali.Japo redio inawapa promotion za kutosha hapa tz ila tatizo najiuliza wasanii wenyewe hawawezi kuwa na umoja wao wakaendasha matamasha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wote tunajua ya kwamba kila july ya kila mwaka huwa kunakuwa na mashindano ya kumpata msanii bora wa mwaka kwa kila category ambayo husimamiwa na kinywaji cha bia ya kilimanjaro,sasa mwaka huu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salute Diamond! Samahani kama kuna uzi mwingine wa video hii wataunganisha.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF. Watangazaji 8 wa kituo kimoja cha Tv nchini Misri wamefukuzwa kazi kwa kuwa wanene. Wafanyakazi hao wamepewa muda wa mwenzi mmoja kupunguza uzito wa mwili.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://youtu.be/t1IRwgr9dEE
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikiliza na kuangalia huu wimbo wa Kara Jeremiah ft Miriam chwira Binafsi nimeukubali wimbo umetulia unaitwa WANANDOTO, nimejaribu kuapload video yake ila nimeshindwa..... Upo you tube
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Wakuu shukran sana kwa wadau walio toa support kwa uzi wangu uliopita uliowataka kuweka majina ya ngoma za bongo fleva za kitambo kuanzia 2010 kurud nyuma......!! Ila leo nimekuja na idea...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
LIVE CLOUDS TV-FURSA. Kweli nchi nimeamini sasa DODOMA kuwa DAR ES SALAAM muda siyo mrefu.......................................... Watanzania waanza kuchangamkia fursa zilizoko Dodoma kaimu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
SHIDA ingekuwa Sumu, basi wote TUNGEKUFA/ wachache wana MIOYO migumu, WENGI kuishi Wanajuta/ PENDA na MAUA yake Kama Ukipenda BOGA/ Usimpe NYAMA ngumu AING'ATE, kumpima KIBOGOYO uwoga/ MORE BLOOD...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Makundi mawili ambayo yalifuzu kushiriki hatua ya robo fainali katika shindano la Dance100% 2016 yameondolewa kushiriki katika shindano hilo kutokana na utovu wa nidhamu na kukiuka kanuni za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Habari zenu. Nipo hapa Tanga, dhumuni ni utalii wa ndani na kupunguza stress za jiji La makonda.. Sina wanyeji, kwa mdau aliye free regardless of age, sex, and political affiliation Ani...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Nimefuatilia sana hawa wakali wawili, nikaona sio mbaya nikawashirikisha wadau wanaowafahamu, hebu tuambizane kati yao ni nani mkali zaidi ya mwingine?
3 Reactions
146 Replies
18K Views
Nitajie nyimbo zako bora kabisa za kipindi hiki. Za kwangu ni hizi hapa I Took A Pill In Ibiza-Mike Posner Hands to myself - Selena Gomez Back to sleep - Chris Brown Dope - TI Hide...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kundi la muziki la Wapancras linalojumuisha wasanii ndugu, Mecrass na Payus, la Jijini Mwanza, limeachia wimbo mpya uitwao "Nitunzie Siri", wakimshirikisha Abuu Mkali. Wimbo umetengenezwa pande...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Huyu mtangazaji wa RFA,sidhani kama kuna Redio DJ anayemfikia kwa sasa unapozumgumzia miziki ya bolingo, Yeye hupiga zile nyimbo kali ambazo wapenzi wa muziki huu,hatujasikia muda mrefu au...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom