RIWAYA: Jina
NA: Frank Masai.
SEHEMU YA 2.
ENDELEA.
Warusha ndege waliingia ndani ya Jet P 112, na kufunga mikanda yao. Na nyuma yao, walikaa Montana na watu wake.
Wakashauriwa nao wavae mikanda...
leo asubuhi wakati wa BP ulipigwa wimbo wa ben paul jikubali, kwenye verse ya kwanza kuna maneno yalifichwa, ikabidi niutafute huo wimbo nisikilize vizuri sehemu gani ni offensive, kwa namna...
Kipekee huwa nakubali ile ya Wagosi wa kaya lile song lao la tax yangu umempa deiwa! Tax yangu umempa deiwaka deoooooo bosi akijua itakuaa kimeoooo! Na ile ya Mandojo na Domo kaya ile sema basi...
Yeah wakuu, been longtime since we did this na ule uzi tulikua tunafanya kushare punchlines (freestyles) design umekua outdated kidogo hence I thought tunaweza create mpya to show some skills...
Saying I love you, Is not u the words,
I want to hear from you,
It's not that I want you,
Not to say but if you only knew,
How easy,
it would be to show me how you feel,
More than words,
is...
Star wa bongo flava Alikiba anayefanya vizuri na ngoma yake ya `aje' ,imetangazwa kuwa number #1kwenye playlist ya streaming app iitwayo Deezer's Africa rising playlist ambayo makao makuu yake ni...
SIMULIZI: Jina
NA: Frank Masai
SEHEMU YA 1.
"Ni siku nisizoweza kuzisahau. Ni siku zilizobadili maisha yangu na kuwa maisha mengine katika dunia hii. Siwezi kusahau, na siwezi kuthubutu kusahau...
Heshima mbele wakuu.
Naomba msaada jinsi ya kudowload series ya American Odyssey. nasikia ninzuri sana ila nimejaribu torrent site zote nimekosa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada
Habari wakuu,
Nimesikia leo huu wimbo wa bongo fleva, una maneno haya
"Tumetoka mbali sana baby, usisikilize maneno..."
"Tumetoka mbali sana baby, usisikilize maneno..."
"Na-na-na naaa.....na...
This is beyond extra ordinary!
Huyu jamaa ameniogopesha aisee.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Kwenye RnB huyu siyo King ni god; hana mpinzani aisee.
Huyu jamaa sijui kaumbwaje, wengine wangekuwa...
Kwa wale mabingwa wa movie hasahasa za kichina leo nawaleta kwenu miamba wawili katika tasnia ya film nchini china, barani Asia na duniani kwa jumla Jet li na Jackie Chan yaani hawa jamaa...
Leo nimefungua cloudsfm yapata saa nne na nusu asubuhi nimekuta kipindi cha top 20 kama nafasi ya 15,Sasa nimeshangaa lakini ilipofika saa tano wakaanza tena nafasi ya 20.Je hivi vipindi kumbe...
"Simba ni mlinzi mzuri zaidi kuliko mbwa, ndo maana yanga tulimpa kazi atulindie nafasi yetu ya kwanza ya ligi kuu kipindi tupo safari ya kimataifa. Tunakushukuru Mtani kwa msaada wako" UTANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.