Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,845
- 141,228
Hivi Magufuli na CCM hiyo kauli mbiu yao waliitoa kwenye huu wimbo..?
Haaaah we jamaa ninoma!!
Mwaka huu tutaona mengi, mpaka Wasukuma wanaaisoma namba kwa taarabu.
Mkuu ila nimeona kuna kaukweliHahaaa vipi kwani....kama kuna uhusiano flani hivi eh?
Najua chadema hamuamini kabisa kinachoendelea na kibaya zaidi mlidhani watanzania ni waroho, mlihonga hela ili mpate urais ila ikala kwenu, sasa mnahaha haha kutaka kupindua serikali, na kibaya watanzania tumekataa na lazima tuwashikishe adabu nyang'au nyieMwaka huu tutaona mengi, mpaka Wasukuma wanaaisoma namba kwa taarabu.
Mjini tabu! Kamanda kumbe mipasho inapanda sio!
Hahaha ngabu
You are barking at the wrong tree dear.Najua chadema hamuamini kabisa kinachoendelea na kibaya zaidi mlidhani watanzania ni waroho, mlihonga hela ili mpate urais ila ikala kwenu, sasa mnahaha haha kutaka kupindua serikali, na kibaya watanzania tumekataa na lazima tuwashikishe adabu nyang'au nyie
Ni Gogh. ....Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa sanaa na sibagui.
Napenda sana muziki wa Taarab.
Vilevile, nishaiandikia paper picha ya Vincent Van Goh [Starry Nights] na nikapata A+.
Na sitegemei kuwa unaijua hiyo picha....
Hayo yote ni mapenzi yangu kwa sanaa.
Ni Gogh. ....
Kaka Mkubwa mzima wewe?? (Ndio ukanifanyaje sasa)Ni Gogh....
Kaka Mkubwa mzima wewe?? (Ndio ukanifanyaje sasa)
Ushampoteza hajui kizungu hata rudi tenaYour barking at the wrong tree dear.
Mhhh simu yako haikuwa "Mubashara"Mie mzima wa siha njema kabisa.
Si ulinikimbia wewe....au?
Mhhh simu yako haikuwa "Mubashara"