el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,072
Leo ni miaka mitano tokea mfalme wa pop afariki dunia....unamkumbuka kwa yapi....
1.Mwanamuziki wa kwanza mweusi kuingia ikulu ya marekani
2.Mgonjwa wa vitiligo maarufu zaidi(ugonjwa wa ngozi unaofanya ngozi kuwa nyeupe kwa madoa makubwa..hakujichubua)
3.mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi
4.Mweusi wa kwanza mwanamuziki kutokea katika coverpage za magazeti makubwa Marekani
5 mwanamuzi aliyetoa misaada mingi zaidi..over 300 million dollarz.....
6.Mwanamuziki wa kwanza mweusi video yake kuchezwa katika channel za weupe..mfano Mtv..nyimbo Billie jean
hebu weka na yako...