Huu wimbo hauna tatizo kama haujaoa na uko peke yako tu unausikiliza ila hausikiliziki kwenye watu mnaoheshimiana. Unahamasisha au unaonesha kuwa kumtafuna shemeji haina tatizo.
BASATA wapo tu.
!
!
Upumbavu mtupu... Mi play back ya kijinga mno. Nipo nawaangalia hapa clouds tv ni ujinga mtupu yani. Ngojea nikanunue kiroba kingine.
!
!
Tukiachana na Bill Nass... Huyu Da Prince ndio...
Wimbo wa shaa uendae kwa jina la sugua GAGA mpaka leo tarehe 21/8/2016 umeangaliwa duniani na watu wengi kuliko wimbo wowote wa kiswahili
mpaka sasa umeangaliwa na watu 21,220,644
HII NI REKODI...
Habari wakuu,
Ile movie yetu kali tulioisubiri kwa muda mrefu imetoka. Mwenye link ya kuidownload au site anisaidie.Nimeitafuta hadi torrents lakini wapi.Au ndo mpaka cinema only.
kipicha chenyewe kimoja wanashirikiana kukituma hicho hicho kuonyesha kuwa ilifana kumbe ilikuwa ni total failure...
Hiyo picha imekuwa doctored(photoshopped) ili kuudanganya umma...
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote...
Pro Era (which is short for Progressive Era) is an American Hip Hop collective from Brooklyn, New York City. The collective includes, among others, rappers Capital STEEZ (deceased), Joey Bada$$...
EATV imesema wasanii wa bongo fleva na bongo movie wanaotaka kupata nomination katika tuzo zao sharti lilopo ni kuwa msanii husika awapelekee kazi yke EATV na andike category anayotaka na sababu...
25th AUGUST 2016
AJE remix Audio na Video Redone ALI KIBA ft M.I ABAGA itakuwa inaharibu hewa..
Kuwen teyar..
Kamwambien ALI KIBA asirelease hii ngoma sabab sio vizuri kuwakosesha amani wale WCB
Kuna vipindi vya huyu Dada in short huwa sisikilizi ila hapa uswahilini kuna mama ana redio yake anafungulia. Ananikera kumwambia nashindwa maana mada anazozungumzia ni zaidi ya pumba, ni umbea...
Hii ngoma itakuwepo kwenye albam yake ya nne hapo Oct 28 itakapotoka.
Inaitwa- Nail Pon Cross
[Verse 1]
World must understand
Yo a man is just a man
Don't you judge him for his ways and flaws
No...
Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great
minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili
kubwa hufikiri sawa sawa.’
Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila
ya wasanii husika kulitambua hilo...
Fiesta inawaunganisha wasanii mbalimbali kwa mikoa mbalimbali.Japo redio inawapa promotion za kutosha hapa tz ila tatizo najiuliza wasanii wenyewe hawawezi kuwa na umoja wao wakaendasha matamasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.