Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

mweny kujua link au aliye nao wimbo wa sheila sheila anisaidia niweze kuupata
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Sorry kwa wanaojua music...nahitaji kujua tofaut Kat ya Rap Na hip hop...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wakuu habari, Nina swali kuhusu hawa wacheza filamu za kichina Jet li vs Jack chan nani mkali zaidi ya mwenzake? Naomba kujuzwa wakuu.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Mambo Vipi wadau! Leo nimepata kuikumbuka ile nyimbo ya Monica aliyo imba moja kati ya manguli wa Muziki hapa nyumbani Maestro King Kikii ila cha ajabu nmejaribu kuitafuta nyimbo hiyo humu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama unalink ya kudownload tamthilia ya BANDIN Santo waliyoitafsiri kiswahili tupia hapa, nasi tuidownload. ASANTE
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ujumbe mzito kwa jamii
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Wakuu, anayefahamu Jina la wimbo huu wa taarabu Zilipendwa (duka lako la asali sasa linanuka shimbo, kwa kweli sikuzania kama wewe una mambo)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii imerudi tena. Umeshaanza kuiangalia? Nini mtazamo wako?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
NAIROBI: Congolese musician Koffi Olomide was Saturday morning deported to Kinshasa, DR Congo after being arrested Friday night. Olomode was sent back to his home country via a Kenya Airways...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Ni msanii anayetamba na kibao kikali cha 'slow down', wimbo mzuri na video ya ukweli, umetisha kaka Credoh...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafuta mashairi ya wimbo huu wa Koffi Olomide kwa muda, hatimae nimepata.. Kwa mtakaopenda usomeni na nyie mfurahie. Koffi Olomide Selfie Paroles Lyrics In Lingala and English...
1 Reactions
19 Replies
16K Views
wadau msaada hapa mistari yake ni. "najaribu kuchombeza nione ujasiri wako msichana kama wewe wangu u peke yako" ni ya kitambo kidogo mwenye kujua anijuze nani kaiimba na jina la wimbo.. thanks
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Movie ambazo ukiangalia zinasisimua ama zinaweza kukufanya utoke chozi mim za kwangu ni John Q(2002) ya Denzel Washington, Titanic na The Ruins. Naombeni na movie zenu za aina hiyo nizidownload
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Mungu katoa vipaji vya kila aina kila mtu na chake, leo nimeona nije kushare na nyinyi videos za nyimbo ambazo zimerudiwa na aliyerudia kaitendea haki, mara nyingi huwa wanaziperform kwenye...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Natumaini Hamjambo Wakuu Nisaidieni kuupata huo wimbo hapo juu Asanteni
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ni maika mingi nimeacha kuangalia comed za tv baada ya orgina comed kupoteza umaarufu na nilikimis sana kipindi cha mambo na vijambo cha chenel 5 miaka takriban mitatu iliyopita, Nilikua mshabiki...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Alienao atuwekee hapa... Au link tuupakue. Thanx.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuuu aisee kuna nyimbo yaa hiphop soul ya stereo sijui inaitwaje ila amemshirikisha jamaa anaimba chorus kwa kiingereza hata jina la wimbo silijui ila mahadhi ni hiphop soul inafanana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
In first time through my priotire You can listen and download New Audio from Nigerian Man Artist YoungB ft Alisco Tittle BethDay Visit To My Blog to download it [/URL][/IMG][/IMG]
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Back
Top Bottom