Kumbe huu wimbo mzuri sana JABULANI umeimbwa na mzungu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,671
28,976
Ebwana wanaJF Mzuka!

Napenda kuwapa pole familia ya vijana wetu polisi pamoja na jeshi la polisi pamoja na watanzania wote kwa jumla kwa kuwapoteza vijana wetu na ndugu zetu mbagala jana usiku. Go to hell majambazi.

Huu wimbo JABULANI wa sauz si mgeni sana kwenu wanajamvi najua wengi mnaufaham. Nilikuwa nausikia sana redioni miaka ya nyuma. Muda wote huo nilidhan ni muafrika kusin mweus aliyeuimba.

Kwa mshtuko mkubwa jana kwenye YouTube nilipatwa na mshangao mkubw kudhan vibaya muda wote Kumbe aliyeuimba ni mwanamama mzungu muafrika kusini kwa jina la PjPowers

PJ_POWERS_11.jpg


Ikanibidi ni dig deep kumgoogle nakugundua ana vibao vikali tu kama wozani na vingine vingi alivyomuimbia mzee wetu Mandela. Halafu Kumbe yuko kwenye gemu kitambo tuu miaka ya themanin huko.

Kisikilize hiki kibao hapo chini.

 
aina ya mpira uliotumika katika fainal za kombe la dunia mwaka 2010 huko kwa madiba

huu mpira unamuheshimu mtu mmoja anaitwa Diego Forlan hata kama kalala akiupiga lazima uingie golini
Umenikumbusha siku nilio punguza mapenz ya ushabiki wa mpira ASAMOH GIYAN alivyokosa penalt kidogo nizimie
 
Umenikumbusha siku nilio punguza mapenz ya ushabiki wa mpira ASAMOH GIYAN alivyokosa penalt kidogo nizimie
Haraka zake ndio zilimfanya akose ile penalty,penalty aliipiga huku akiwa na pressure sana! Ila bila Luis suarez kuushika ule mpira uliyokua anaenda golini siku hiyo Uruguay ndio wangeyaaga mashindano siku hiyo!
 
aina ya mpira uliotumika katika fainal za kombe la dunia mwaka 2010 huko kwa madiba

huu mpira unamuheshimu mtu mmoja anaitwa Diego Forlan hata kama kalala akiupiga lazima uingie golini

Mbavu sina mkuu, yaani mpira kuwa na nidhamu kwa mtu mmoja tuuuhh duniani uuuwwiiihhh makubwa hayo!!!!!!!
 
Yah even me nakumbuka like two years ago nilikumbuka hilo neno nika google nikamuona mmama akiimba nikausave kabisa... ila sikufuatilia uraia wake... Maana waimbaji wengi nilikuwa najua ni wazungu except Bonny M. Lionely Richie na Michael Jackson. na Baadhi wachache... Kina Sophia George na wimbo wake Girlie Girlie nilijua ni wazungu kumbe mablack

 
Back
Top Bottom