LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,459
- 12,440
Wakuu nimefuatilia vipindi vya clouds TV na EATV lakini naona EATV wako vizuri sana katika vipindi vyao.
Clouds tv utoto ni mwingi sana
Kama juzi tu taarifa yao ya habari walisoma watoto..kwa kisingizio kuwa ilikuwa ni siku ya mtoto..Hivi mlishawahi ona kipindi muhimu kuliko vyote kama taaarifa ya habari wanaendesha watoto?
Hata CNN,ITV,TBC,BBC sijawahi ona bali nnavyojua mimi watoto huwa wana vipindi vyao maalum
EATV kituo bora cha burudani