Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Baada ya kuoneka mziki huu wa singeli kuja kasi na jamii kuupokea vizuri bado naziona changamoto. Kinachonifanya nianzishe uzi huu ni kutokana na kuwaona wanaume wamevaa madela huku wakikata nyonga kama Snura katika show ya muimba singeli maarufu anaejulikana kwa jina la Sholo Mwamba.
Jambo hili ni la kukera kama mtu umekuja kuangalia. Mbadilike waimba visingeli isije ikawa kama taarabu. Makonda ile kauli yako iwekee mkazo uitekeleze kwa vitendo tumechoka sasa!
Jambo hili ni la kukera kama mtu umekuja kuangalia. Mbadilike waimba visingeli isije ikawa kama taarabu. Makonda ile kauli yako iwekee mkazo uitekeleze kwa vitendo tumechoka sasa!