Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Sijui ninini kinawavutia watu katika huu wimbo Tangu utoke ni nyimbo nyingi nzuri zimetoka lakini bado unasikika tu kwenye maredio matv na kwenye maclub na ukipigwa kwenye matamasha ndio kabisa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
kutana na kazoa a.k.a chauroho....na wakali kibao wa commedy nadhani ilikuwa inaoneshwa e.a tv miaka kama 3 iliopita na sasa wameludi kwa episode mpya kama unamkubali kazoa stay tuned jamaa...
5 Reactions
32 Replies
15K Views
NILIKICHEKEA KIFO CHANGU no.1 mtunzi IDDY MHANDO Nilikuwa safarini nikielekea sehemu nisipo pajua. ndani ya basi hilo tulikuwa abiria wengi lakini wote tulikuwa tumekaa kwenye siti hapakuwa na...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Imdb.com top 250 movies of all time No 1. The Shawshank Redemption (1994) No 2. The Godfather (1972) No 3. The Godfather: Part II (1974) No 4. The Dark Knight (2008) No 5. 12 Angry Men...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Awali ya yote nikiri kabisa mi ni shabiki kindakindaki na mpenzi mkubwa mno wa burudani...nikiwa kama mpenda burudani ntakuwa mnafiki endapo sitasifia tamasha la fiesta linalofanyikaga kila mwaka...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Wazee hii ngoma mpya ya Alikiba X Ommy Dimpoz.. Wimbo unaitwa .. Kajiandae.. n ngoma kali sanaaa.. Nilikuwaga na wasiwasi na uwezo wa Kiba ila kwa hii.. Kiba n Hatari. Video pia Kali sanaaaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam za heshima wakuu, Naomba mwenye story ya cleopatra anirushie kuna binti yangu anaitafuta kwa nguvu wakuu. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haimoooooo. Ndio maana kaka Magu hajaja...angepiga Tumba gani sasa kama kila anayepanda stejini anapumulia maiki na kutuambia tupige kelele? shabash
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie jina la huu wimbo yaani jina la aliyeuimba na jina rasmi la wimbo wenyewe. Nimejaribu ku-shazam lakini wapi. Una maneno maneno don't Stop believing. Nime-attach file la...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
fiesta ya mwaka huu bila kuficha maneno mmechemka sana tena sana Kwa kiingilio cha 20,000 na jinsi show mnavyoipromote ilibidi mlete msanii mkubwa aliye na hadhi ya kiingilio kilichotangazwa...
14 Reactions
155 Replies
13K Views
Mnaoenda fiesta chukueni tahadhari na vijana wa Panya Road maana ndo wakati wao wa kuvuna Smart phone na chenji chenji zilizobakia.
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemkuta na hatia mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee kumkashifu Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga pamoja na Mkurugenzi wa Vipindi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Una hamu ya kumuona nani leo FIESTA DAR akipanda jukwaani, mimi binafsi namsubiri Juma Nature Kiroboto, long time jukwaani sijamuona, pia hata yemi alade.. Najua wadada leo mna hamu ya kumuona...
4 Reactions
80 Replies
9K Views
Masoud Kipanya kamchora Magufuli kwa staili ya kichwa kubonyea baada ya Magufuli kumsema kuwa anamchora na kichwa kimerefuka sana.....:D:D:D:D
3 Reactions
17 Replies
6K Views
None
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, Kwa mliopo huko leader mtupe habari kinachoendelea maana naona clouds hapa hawaonyeshi chochote zaidi yakutupigia nyimbo tu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kipindi cha FUTUHI sasa hivi kinachoendelea,kuna ile wanaita sijui mtafiti,ameongea swala la wanandoa,akisema kwa sasa wanaume wamekua na mfumo dume,ni vyema wanawake kama amezaa watoto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom