Basata Kuifungia Kokoro ya Rich Mavoko?

Basata Kuifungia Kokoro ya Rich Mavoko?

Sir Lindege

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
35
Reaction score
181
Cx71DWRXcAAzWEw.jpg

BASATA: Baraza la Sanaa Tanzania limesema linaihakiki video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko, Kokoro ili kuona kama wanawake wamedhalilishwa.

Basata wameandika kwenye ukurasa wao wa twitter===>Baraza la Sanaa (@BasataTanzania) | Twitter
 
Ni mbaya mno harafu na waimbaji nao wafungiwe
 
Sijaona shida. Itaangaliwa youtube hata wakiifungia na kimataifa itaendelea kuonyeshwa!
 
Back
Top Bottom