'' Nakupenda sana hip hop,
Zaidi ya machizi wangu wa kitaa, acha wale naokesha nao Baa... ''
Hizo ni ladha katika moja ya kazi zake zilizowahi kubamba sana hapa Bongo in hip-hop community. ROHO...
Wadau, miongoni mwa nyimbo ziletazo mitafaruku hadi leo ni wimbo huu maarufu uitwao Malaika.
Malaika, nakupenda malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina
Ningekuoa malaika...
Leo nimefurahi sana baada ya kupata kifaa cha #TECNOPhantom6Plus chenye camera 21#megapixels na 4GB #RM, kiukweli nakula burudani kisawasawa. Mfukoni inamilikiwa na mimi mwenyewe, chezea!
TECNO...
-Ipo hewani muda huu kupitia startv
-Mashindano yanafanyika Mwanza kwa mara kwanza.
-Watangazaji wamepoa sana wanaonekena ni wageni shughuli hii
-Star tv wanakataka sana matangazo sijui shida ni...
Kuna kila dalili ya kufanyika collabo nyingine ambayo haijawahi tokea ndani ya Crew ya WCB kati ya Boss wa label hiyo kubwa ya muziki hapa nchini na nje ya nchi, Nassib Abdul "DIAMOND PLATNUMZ"...
Miongoni mwa waasisi wa muziki wa kufoka foka Tz ni huyu jamaa. Kwa wale wa umri wa kati nadhani wanamkumbuka vizuri sana ktk tasnia ya muziki. Alifungua milango ya kurap kwa kiswahili jambo...
Ngoja nikupe kwanza tafsiri sahihi na rahisi ya record label: ni ‘brand ya biashara inayohusiana na masoko ya rekodi za muziki na video za muziki, studio ya kurekodi.
Pia ni kampuni inayojihusisha...
Axe wadau kunafoleni zina kera hadi kero,hii hutokana na mda ambao watu hutumia kupata huduma mbalimbali kama za kibenk,huduma za matibabu,chakula n.k.Binafsi foleni inayotumia zaidi ya lisa...
Hakuna asiyefahamu kuwa muziki wa Singeli ni miongoni mwa miziki inayofanya vizuri zaidi hapa nchini kwa sasa lakini pia umezalisha ajira kwa vijana wengi na umetufanya tuuamini ni muziki wa asili...
Kama una kipaji cha kuimba,kuigiza,kuchora,kucheza mpira, uandishi,uongozi,uanaharakati(Activists), model/fashionist na unataka unufaike na kipaji chako pia utambulike kupitia kipaji chako...
The six-member crew of the International Space Station is tasked with studying a sample from Mars that may be the first proof of extra-terrestrial life, which proves more intelligent than ever...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.