japo long sijacheki e.tv mieleka ila najua ni jumamos ..,jumapili saa kumi na mbili jion na jumatano saa tatu but ushaur tu zile mechi za e.tv uwa za nyuma kidg kama wiki moja au wiki so fany kudownload mwenyw kila jumatatu na jumanne ...am member hapa yenyew naangalia monday night raw ya jana jumatatuhabarini wadau, kwa wale wafuatuliaji wa vipindi ktk channel hiyo ningependa mnijuze vipindi vya mieleka (wrestling) huwa vinaoneshwa siku gani na masaa gani. Karibuni.