zamani nilikuwa naona mziki unaotumia vyombo hivi wanasikiliza watu fulani pretentious, sikujua unaweza kunivutia hivi. hii ni hiphop.
Scott the violinist- Kenya... Kijana kajaribu
yuko vizuri sana. na smart kichwani. hizo gigs anazofanya inaonekana inamlipa. kasema anataka kuwa kama Lindsey Stirling na ametaja hii nyimbo wamefanya na John Legend.
labda unazungumzia hii?Mkuu kuna wale wazungu wa kiume wameimba then kwny video wamezungukwa na waafrika na watoto weng kijijini sn.maisha magumu.sikumbuk jna la wimbo but nafikir ni ya mwaka huu.km unayo iweke pia.
Ni nzur sn io nymbo na video yke.
yuko vizuri sana. na smart kichwani. hizo gigs anazofanya inaonekana inamlipa. kasema anataka kuwa kama Lindsey Stirling na ametaja hii nyimbo wamefanya na John Legend.