HAPA DIAMOND ANAMAANISHA NINI..!!!

HAPA DIAMOND ANAMAANISHA NINI..!!!

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
Msanii RICH MAVOKO ambaye yuko chini ya lebo ya WCB aachia kibao kipya alichomshirikisha DIAMOND kinachoenda kwa jina la KOKORO...Ila katika kupromote kazi hiyo diamond aandika maneno yenye utata kwenye ukarasa wake wa Instagram.Ni kama kijembe kimerushwa kwa mtu..!!

Kama mnavyoona hapo kwenye picha wakuu naomba tusaidiane hili neno KUPUMULIA lina maana gani katika kukuza lugha yetu ya Kiswahili.

Wataalamu wa lugha humu tusaidiane hii sentensi anaposema "MTOTO WA KIUME KUMCHUKIA MWANAUME MWENZIO KISA KAKATAA KUKUPUMULIA NAYO NI KOKORO" anamaanisha nini ..??...!!!!

[HASHTAG]#Angalizo[/HASHTAG]: Sina Team wala sifungamani na upande wowote.

3f47392e31d8912a08a279fe24c26247.jpg
 
kupumulia ina maana kugongwa na mwanaume mwenzio, kokoro yani we ni punga
 
Kwa kua umesoma hii post nenda kasome na post ya POZI KWA POZI then uchanganye na za kwako mkuu
 
angeachana na hizi drama za kipunga zeze,akafanya kama anavyojitapa kwenye media ye mkali ana pesa na nini,sasa kwa hivi vitu still anaonyesha yuko sawa tu nahao ambao inasemekana amewazidi..!!yaani mi huwa naamini huwezi kubishana bishana na mtu ulie mzidi kimafanikio zaidi atakupotezea time yakuwakimbiza walio wafanikiwa zaidi yako
 
Kiba kawafundisha watu vibaya sanaaa,yani kila mwanamziki aliyepotea sasa anaona ili kurudi kwenye game basi ni kufanya bifu na mondi tu.Dimpoz kamchokozaaaaa mond karibu wiki mbili sasa ili apate kiki naye kuanza kusafiria nyota yake mondi,ila alisahau mondi ni mtoto wa tandale huyoooo.kampa moja sasa kumuonyesha uswahili kwanza na kumkumbusha kua mswahili ni mswahili tuuu.ila vijana hawa wa muziki wa sasa wanajua kuchangamsha watz,mpaka na wasiwasi ni mbinu ya ccm.kuwasahaulisha watz shida zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom