Niliposikiliza huu wimbo wa Usisahau wa Timbulo nikajua Kassim Mganga katoa Remix ya Haiwezekani, yaani Timbulo, Baraka na producer wao wote wamepita mulemule