Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Aise nimetokea kumkubali sana. Kila nyimbo atoayo naikubali tu. Atafika mbali. Check wimbo wake Mary Mary kwenye hii link
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Napenda kuwajulia hali wana jf... Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music...
0 Reactions
89 Replies
9K Views
Congratulations for winning 2 awards at the grammy
1 Reactions
2 Replies
638 Views
MY HEART - Cassper Nyovest & Diamond
14 Reactions
116 Replies
22K Views
Waungwana naombeni anae jua application nzur ya ku download move kupitia simu,mm naijua UCB browser ttz hii ime base kwenye TV series mm nataka move as move,please[emoji120]
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hwa wasanii wapya kabisa Tanzania na wanatoka katika kampuni mpya kabisaa ila wanakuja kwa kasi saana......Ebu sikiliza nyimbo yao hapa ya "BASI SAWA"
0 Reactions
0 Replies
823 Views
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Katika mkutano na wandishi wa habari mkuu amenukuliwa akisema "angependa sana kama nayeye angepata mwaliko toka kwa ruge ili ashiriki fiesta Imoo kwani ndo itakua tarehe yake halisi ya kusherekea...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina mahaba sana na hawa jamaa wa hili kundi la West life toka nikiwa shuleni. Leo shauku ya moyo wangu nataka kulileta nchini kundi hili kwa gharama yoyote ile.Mwenye full details kuhusu gharama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwnye Hoja. Nimejaribu kuufuatilia mziki wa kisingeli na kujiridhisha kua mziki huu unakuzwa kwa ushabiki wa Media na wasaka Tonge , ila ni mziki usio na ladha kamili ya Burudani...
14 Reactions
86 Replies
9K Views
Katika makala hii usipokuwa makini kidogo unaweza kudhani sipendi music videos nzuri au za gharama, lahasha,napenda video nzuri. Naandika makala hii ili tujadili kuhusu muziki wetu usonge mbele...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya music fans wote. Lengo ni kukumbushana musiki wa kibongo hasa zile track zenye jumbe kuntu za kufundisha jamii katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
J.H. Chase kwangu mimi ni mwandishi bora wa novel wa wakati wote, ameandika novel nyingi sana. Novel 3 bora kuwahi kuzisoma toka kwa James Hadley Chase ni; •Knock Knock Who's There •No...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Wadau nina shida na nyimbo za bendi ilikua ikijulikana kama Mchinga sound, Pia na nyimbo za TOT plus , Mwenye nazo tafadhari. Natanguliza shukrani za dhati.
1 Reactions
0 Replies
892 Views
[emoji117] DIAMOND PLATNUMZ [emoji117] MR BLUE
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Rejea kichwa tajwa. Ninatafuta audio moja hivi ambayo ni kama stori iliyokuw ktk mfumo wa shairi inayoelezea mahusiano y mdd n mkk ambako yanapoishia ni kuwa dada anaambukizwa ugonjwa wa...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Back
Top Bottom