Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

Nyimbo nzuri sanaaaa!!Richmavoko amebadilika sana katika huu wimbo...ametoa banger moja la hatari...afadhali hii inachezeka..Ibaki story nilikosa kabisa style ya Kucheza[emoji38]

Hongera WCB,Viva RICHARD MARTIN
 
Team Kiba vipi,,..?? mbona kimya.. mmesanda??? toeni walau ya kufungia Mwaka jamani,,...... cc.[HASHTAG]#teamkibakuli[/HASHTAG]
 
mmelisikia dongo toka kwa icon hapo mwisho... teh he he .
 
Back
Top Bottom