Tazama views Youtube - wimbo wa Mavoko ft Diamond

Tazama views Youtube - wimbo wa Mavoko ft Diamond

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
23e82433461028354610e5005f4791c3.jpg
 
Hacker a person who uses computers to gain unauthorized access to data.
 
Kwa mtindo huo lazima watu wa-panic!! Hata 24 hours bado... na sijui hiyo screenshot umechukua wakati gani manake hivi sasa views ni zaidi ya 180K!

Mavoko.png
 
Hizi hizi za kununua lazima zipae sana
Acha kujiabisha mbele za watu....!! Video ukifungua tu unakutana na Google Ads halafu bado unatarajia views ziwe za kununua?! Hivi tangu alipoanza kuambiwa ananunua, hadi leo Google wanamuachia tu?!
 
Kuna watanzania milioni 40 achana na wasikilizaji wengine wa nje ya nchi. Sanaa inataka promo tu!
 
Acha kujiabisha mbele za watu....!! Video ukifungua tu unakutana na Google Ads halafu bado unatarajia views ziwe za kununua?! Hivi tangu alipoanza kuambiwa ananunua, hadi leo Google wanamuachia tu?!
Mbaya zaidi Google hao hao juzi juzi tu wamempa tuzo.
 
Mbaya zaidi Google hao hao juzi juzi tu wamempa tuzo.
Hapa sasa... ndo maana nikamwambia atajiabisha mbele za watu! Unajua watu wanadhani kununua views ni kama kununua nguo dukani.... yaani makampuni yanalipa thousands of dollars kununua Google Ads halafu matangazo yawe viewed na fake viewers na wabaki kimya!!
 
Acha kujiabisha mbele za watu....!! Video ukifungua tu unakutana na Google Ads halafu bado unatarajia views ziwe za kununua?! Hivi tangu alipoanza kuambiwa ananunua, hadi leo Google wanamuachia tu?!
Google wapo kipesa
 
Ifikie mahali tukubali tu kuwa Mond ni brand ni wakati wake wa ku shine na anapeperusha bendera ya Tanzania vizuri,hata kama hamumkubali yeye as a person basi kubalini juhudi zake,na sio mchoyo anashika mikono wenzie nao wasogee sogee kimataifa.
Binafsi namfagilia sana 20% lakini nakubali sana juhudi za Mond.
Tukubali tukatae kwa sasa Mond yuko juu ya wasanii wengi wa nchini kama si wote na yuko fresh kimataifa zaidi.
 
Mziki wa ujanja ujanja wimbo mbaya hauna hata cha kujifunza
Pole; inaonekana ulikuwa unaongea kitu usichokijua!! Rudi kwenye mada; Google wanajali pesa; na vipi kuhusu wanaowalipa hao Google?! Kama huna jibu basi piga kimya na uache kuongea vitu usivyovijua!
 
Acha kujiabisha mbele za watu....!! Video ukifungua tu unakutana na Google Ads halafu bado unatarajia views ziwe za kununua?! Hivi tangu alipoanza kuambiwa ananunua, hadi leo Google wanamuachia tu?!
Kuna mijuha inaamini kweli mtu anaweza kufanya upuuzi wa kununua views, YouTube sio wapumbavu wakulipe kwa kununua views, huyo anaeweza kuongeza views kwanini asianzishe yake akawa anapiga kuliko kumuuzia mondi?
 
Hapo sasa... na hata ukiangalia hao wanao-claim kuuza genuine views; waulize wakuoneshe channels zao; hawakuoneshi
 
Back
Top Bottom