Msaada wa haraka naomba huu wimbo

Msaada wa haraka naomba huu wimbo

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,179
kuna wimbo huu ameimba Mchungaji Faustin Munishi nimejaribu kuutafuta mtandaoni nimeukosa ila maneno yake yako hivi...

"mokozi iiii Yesu...Kazi nimemaliza aaah... nitume tena niende na Tanzania.... aa niwape mausia aaah...

CCM alianzisha Nyerere eeh...sasa imezeeka aaah...

na...Sera zake eeeee.. zimeharibu hii nchi na ujamaa aaah umeshindwa kabisa...."

tafadhali mwenye wimbo huu

anitumie kwenye namba
0688 990 975 na Mungu atambariki.
 
Huu wimbo si ulifungiwaga nasikia ni chanzo kimojawapo cha yeye kukimbia Tz
 
Huu wimbo si ulifungiwaga nasikia ni chanzo kimojawapo cha yeye kukimbia Tz
yeah lakini kuna mtu mmoja niliwahi kumuona na CD yenye wimbo huu sasa ni muda sana nimepoteza mawasiliano nae
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ck hz viongoz wa dini hawajielewi..........

Tanzania ni nchi inayoseparate religion and power

Sas kiongoz wa dini kujihusisha na siasa anakuw anajitaftia shida maana Tanzania ni tofaut na Afghanistan, Iraq...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom