NIMEKUBALI YEYE NI SIMBA

NIMEKUBALI YEYE NI SIMBA

kycheneke

Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
68
Reaction score
34
Mambo anayo yafanya diamond n kama mtu na degree zake.. Cz anajua kutumia udhaifu wa washndani wake ana jifunza kwa wapinzan wake bt haigii... OUR ICON [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
mh!jamaa anajua,lakini nimemsikiliza mavoko wa kimataifa!!
 
Yaani jamaa kiukweli anajua mpaka anaboa ndio maana kila msanii anajilinganisha na yy uku yy anajilinganisha na wasanii wamambele
 
Back
Top Bottom