Jamani mimi ni mpenz wa series za kikorea
niambieni nzurinzuri kama Giant hivi ama east of eden ama scandal nataka za sampuli hii za.kifalmefalme sipend sana.napenda za visasi na mkono kidogo.
asanteni
Don soo,emperior of the sea,city hunter,mandatory of heaven.nyingine nitakutajia badae
Angalia IRIS au ATHENA hutakaa ujute maisha yako yoteJamani mimi ni mpenz wa series za kikorea
niambieni nzurinzuri kama Giant hivi ama east of eden ama scandal nataka za sampuli hii za.kifalmefalme sipend sana.napenda za visasi na mkono kidogo.
asanteni
A Man Called God
Angalia IRIS au ATHENA hutakaa ujute maisha yako yote