Kivipi yani?Mh! Huu wimbo.. Roma umekuwaje tena??!
Lutindi hiyo!Roma awahishwe mirembe au pale korogwe kuna kakituo! Wimbo gani huu![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wimbo wa nani?Roma awahishwe mirembe au pale korogwe kuna kakituo! Wimbo gani huu![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Bongoflaver karibia inakufa kibuduaisee hili goma halifai naona hiphop ngumu wameanza kumuiga darasa
#k_ni_k#