2game
Member
- Jan 1, 2017
- 10
- 2
Wana jf niajeee hv naomba kuchukua muda wako kidogo kwann muziki wa hip hop haupewi kipaumbele bongo hasa kwa wasanii underground alafu unakuta ukiforce kupata airtime ya ngoma zako unakuta wanakushauri utoke kwenye uhalisia
Ni kwann hip hop haichukuliwi umakin km miziki mingine
Ni kwann hip hop haichukuliwi umakin km miziki mingine