kisana kiki
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 266
- 287
Kususwa kwa baadhi ya nyimbo
Kama heading inavyojieleza hapo juu ,hivi ni kwanini Msaniii Diamond Platnumz Katika shows zake Mara nyingi kuna nyimbo huwa hazipigi sana ?? Ndio kusema hazina maana kwake au ni nini? Maana nikitazama mtaani zinahit au zilihit sana lakini sijawahi kuona akizitumbuiza au baadhi anazitumbuiza Mara chache.Mfano;
1.Nyimbo inaitwa Hello nakukumbuka
2.Nyimbo aliyoshirikishwa na Papa Wemba.
3.Diamond Ft Iyanya ,Nakupenda
4.Diamond Ft Iyanya Shake your Boom
5.Nyimbo yake inaitwa Natamani siku iwezekane
6.Nyimbo yake inaitwa Kipofu
Na zingine mnaweza kuongezea wadau.Nataka kufahamu sababu huwa ni nini hasa???