Namna ya kupata tamthilia ya Ezel?

ashidodi

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
287
334
Wanajanvi naomva msaada wa kupata CD za tamthiliya ya ezel, hawa waturuki waliigiza kwa weledi mkubwa sana, nimezitafuta sana ila sijazipata
 
Wanajanvi naomva msaada wa kupata CD za tamthiliya ya ezel, hawa waturuki waliigiza kwa weledi mkubwa sana, nimezitafuta sana ila sijazipata

Mkuu ukipata na mimi nishtue nikaichukue, nimeitafuta pia nimeikosa, youtube usumbufu afu inavipande pande vingi kuanzia episode ya 6. Ni bonge la series asee.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom