KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nimeuliza kwakuwa naina nchi nyingi huwa na nembo zinazo watambulisha katika nchi za nje hata katika michezo...Mfano ni kenya wana nembo yao kama taifa ukiiona unajua hii ni kenya,England mbali ya bendera wana nembo yao ukiiona unatambua ni england,au US unaona wana nembo kwa nini sisi hatuna mpaka tutumie nembo ya chama TFF??Serikali kupitia jwa Mh Nape M.Nnauye uliangalie kwa makini hatuna identification kama timu ya taifa,timu ya taifa siyo yakutegemea nembo ya chama cha mpira.