Harmonize: new song, happy birth day

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Nimeikubali sana hii ngoma inaonyesha jamaa habahatishi.

Kaka umetisha nasubiria official release.

=======================================
 
Mkuu,
Tuliza papala,lete habari iyokamilika siyo vijipande-pande ,Tupia wimbo huo kama huna hata mashairi bandika.
 
huu wimbo mbaya kama nini.....bora angeludia ngoma alizotoa wakati hajasigniwa wcb zilikua kali sema alikua hana jina tu......

#hamorapa#kiboko ya mabishoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom