cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Kipindi cha Ujana wangu nilipo kua nafwatilia mziki kwa ukaribu sana hasa wa Hiphop hapa Bongo
P funk alikua ni the best producer
kwani katika top ten chart ulikua unakuta nyimbo nane au tisa zote kaproduce yeye,Kipindi hicho sio kwamba alikua peke yake kulikua na producers wengi wakubwa kama Master Jay alikua ametawala tasnia ya mziki kuanzia sebene taarabu gospel na kila aina ya Music lakini P funk alispecialize Bongo Fleva, na midundo yake mpaka sasa wanatumia maproducer wengine na ndio kama inatoa the real definition ya midundo ya bongo fleva.
Kwa sasa kutakua na producers wengi sana sana wakongwe na wanaochipukia lakini sijapata kujua who is the best producer