Ze Comedy ya TBC1 ndo kwaheri

Kuna mwanzo halafu kuna mwisho ujue.

Ila walisema wapo likizo ngoja tuone wakitoka likizo kama wana kitu cha kuonesha watanzania
 
Kuna mwanzo halafu kuna mwisho ujue.

Ila walisema wapo likizo ngoja tuone wakitoka likizo kama wana kitu cha kuonesha watanzania

Hakuna cha Likizo yoyote hapo.Kwa ufupi walikosea njia walipokwenda TBC walipoteza washabiki wao wengi.
 
Washapiga hela wakatajirika na wana mikataba mingine minono mkataba Wao uliisha Sasa msiojua nyie pigeni kelele na majungu
 
Naona mmeamka na makucha yenu
Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya
Hamna tofauti na kuwanga usiku
 
joti ana channel yake youtube,still anafanya comedy plus mtonyo wa TIGO katulia tuliiii...

Mpoki nae yuko zake E-fm plus u-MC

Wakuvanga nae kwenye kilimo a.ka. Mr Kilimo burudani...

Masanja pastor...

and life goes on....
 
Back
Top Bottom