Pacman aliwahi kusema aliingia ulingoni akiwa anaumwa mkono.
Kauli hii ilimuudhi Maywether, akasema "losers always have excuses".
Akasema amechukizwa na kauli hiyo ya pacman ambayo anaona inavunja heshima na kughairi mpango wake wa kurudiana tena na Pacman.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.