Ngoma mpya ya singeli kutoka kwa TOP IN LUV

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Huyu jamaa ni noma, ametoa Ngoma mpya ya singeli inaitwa NADUKUA. Hii Ngoma ni Kali balaa, ngoja atairelease mda si mrefu.

Hongera mwana jf mwenzetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom