Wandugu, kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye wimbo wa Captain Komba (RIP) wa "The wind of Change". Wimbo huu umeimbwa mwanzoni mwa miaka ya 90's na ulihusu mageuzi na kuanzishwa kwa vyama vingi nchini. Kama msanii, Marehemu alikuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa wananchi kuwa vyama vingi vimeanzishwa kwa hiyo wavipokee na kukubariana na hali....(Binafsi sikumbuki mashairi, lakini ni wimbo wenye kutafakarisha....)
Wasalaam
Wasalaam