MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,035
- 64,850
Mbali na wasanii wa hapa nyumbani Afrika.
Kuna huyu jamaa anaitwa Rag'n'Bone Man ndiye msanii ambaye nimetokea kumpenda sana kwa mwaka huu 2017. Ni moja ya wasanii ambao wanaimba vitu ambavyo vinafanya moyo wako ufurahi na akili ifikirie sana. Ndani ya nyimbo zake huwezi kukuta matusi, kashfa wala makufuru kama ilivyo wasanii wengine wakubwa.
1. Skin
2. Arrow
3. Human
Nyimbo yake ya Human imefanya vizuri sana kwenye BBC Official UK TOP 40.
Album yake inaitwa HUMAN
CC: Red Giant , Benny , mtembea kwa miguu , Apollo