habari wakuu,hii kwa yule ambaye yupo serious/dreams za kuwa na RECORDING studio au MULTIMEDIA(mobile studio), tunaweza shirikiana tufanye kitu kwasababu ninauzoefu na shughuli hizo(recording &...
Miaka ya 90's Yondo Sister alitoa albamu yake iliyofanya vizuri sana hapa nchini.
Ila napenda kujua yule rapper aliyekuwa anakamua baada ya Yondo kumaliza kuimba anaitwa nani.
Mfano kwenye...
Timu ya soka ya Barcelona imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya kombe la mfalme au copa De rey nchini Hispania kufuatia sare ya kufungana goli 1-1 na Atletico Madridi.
Goli la Barcelona...
Habarini Wadau,
Katika kipindi cha comedy ya FUTUHI kinachorushwa na Star TV, ukimuondoa Brother K yule wa mashati Oversize labda na yule Mjaluo, wengine wanaboa sanaa
Nafikiri wana juhudi sana...
Geti na Ukuta wa Chuma
Ni asubuh nyingine kama kawaida Lusajo anaamka na kujinyoosha tayari kuanza kujiandaa kuelekea kazini, anakumbuka kuwa jana alisahau kununua mkate. Amejenga mazoea ya...
Nashangaa wakati huu timu ya taifa vijana imefuzu michuano ya afcon kila mtu yupo kimya na hakuna anayeona mafanikio ya Malinzi.
Kwa hiki kilichofanyika isitoshe kuona Jamal si mtu sahihi katika...
Msanii Ommy Dimpoz ambaye anafanya vyema na wimbo wake 'Kajiandae' wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema ikifika wakati ataweka wazi suala la mahusiano yake kwa jamii, na kumuweka wazi...
Wanabodi hasa wapenzi wa kipindi cha Bolingo time, muda huu naona Zuberi wa RFA yuko hewani anaweka mipini ya JB mpiana. Ameanza na 48Heures Gecoco,sasa kaweka Feux d' La Amour.
Swali je huyu...
Mashabiki wa soka nchini wamevitaka vilabu kuwafanyia vipimo vya afya awachezaji wao mara kwa mara.Vile vile wamewasihi wachezaji nao wawe na tabia ya kuangalia afya zao mara kwa mara.
Hivi...
Jamaaaani eeeh nimetafuta sana kwa zaidi ya miezi 6 sasa hapa ma game sijapata.. Nisaidienieni tafadhali kwa mwenye nalo,mwenye link ya kudownload.... Hata kwa kununua pia nipo tayari... Maana...
Nimekuwa nikimfutialia sana msanii huyu na kugundua kuwa ni miongoni mwa wasanii wenye kipaji kikubwa sana cha kuimba na kama ataendelea kufanya hivi basi hapo baadae huenda akaja kuwa miongoni...
ALI KIBA NI KUTWA MARA TATU...
Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media.
Ni...
Wadau kwema??
Asubuhi hii nimesikia remix ya wimbo "Utaoa Lini" wa Mwana-FA. Remix hii imefanywa na Mtangazaji Tupatupa wa Clouds TV ambapo yeye amezungumzia kuhusu timu ya Manchester United, kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.