RAY C NA UIMBAJI WA NYIMBO TAMU ZA MAHABA

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Pamoja na matatizo yake ya madhara ya madawa ya kulevya ray c mungu kampatia kipaji cha pekee cha sauti tamu sana anajua kuimba sana. Natamani ingetokea mtu atoe utaratibu mzur wa kuuza nyimbo zake kwenye album zake ili tumpe support ya ukweli. Hizi ni baadhi ya nyimbo Kali ambazo huwa zinanipa hisia Kali za mapenz na hasa nikikumbuka niliwahi kumpenda mrembo mmoja ila alichokuja kunifanyia shahidi mungu
 
Back
Top Bottom