Wasanii Weupe wataendelea kuwashinda watu weusi popote pale duniani.
Weusi huwa tuna kawaida ya kusahau tulipotoka jambo ambalo siyo zuri kabisa.
Leo hii ukilinganisha Muziki wa Weusi miaka ya 70's na 80's utaona kuna utofauti mkubwa sana.
Zamani ilikuwa ni rahisi sana kwa watu wa kada, rangi, dini na tamaduni zote kusikiliza muziki kama HipHop, lakini leo huwezi kusikiliza hata mbele ya wazee, Aibu tupu. Halafu leo wanataka Grammy wakati nyimbo zao zinazozungumzia Mihadarati, Ngono na Ujinga mwingine zinazikilizwa na vijana tu.
Please give me Break....................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.