Moonlight

Benfamous

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
484
375
Jaman eeeh yoyote mwenye uelewa anieleweshe ivi hii movie ya moonlight ina maudhui gani maana me sielewi kabsaaa wana jf mwenye uelewa na ambae ameshaiona
 
nilisoma mahali inahusu mwanaume mweusi anayejihusisha na mapenz ya jinsia moja..kama niko wrong nisahihishwe.
 
Hii movie nilii download 3 weeks ago lakini cha kushangaza, nikakutana na theme za hovyo sana nikaifuta.

Story yake ni kwamba kuna dogo alikua ana ishi na mama ambaye ni crack fiend.
Kutokana na mazingira ya kukuzwa na maza tu huyu dogo alikua ana feminine traits.
Alivyo fikia u-teenager he was fucked by his best friend.
Lakini alifungwa baada ya kum-assault mwanafunzi mwenzie ambaye alikua bully.
Baada ya kutoka jela akarudi mtaani akawa anafanya poa financially mwisho wa siku akautana na yule best friend ambaye alimfokoa walivyo kua teenagers.
Na akafanywa Mke kabisa.
In short hii movie imemdhalilisha sana mwanaume wa kiafrika.
 
itakuwa imetengenezwa kwa lengo la kutetea ushoga ambao unapigwa sana vita huku africa..swine
 
Kimsingi Moonlight ni movie ya kueneza mission za LGBT kwa watu weusi wa ghetto. It's punchline is, you could be gay and a hustler still. Ni movie mbovu kwa ujumla, na sio kwa sababu ya ushoga uliomo ndani.
 
Sasa kwa upupu huo wa kisodoma nini kimeifanya kuchukua best picture award ya Oscars after lala land!
 
wazungu wameamua kuipromote kabisa kwa kuipa oscar ndo maana sizipendagi hzi awards kuna movie kali kama hacksaw ridge imekosa hta moja
 
IMG-20170306-WA0024.jpg
 
Back
Top Bottom