KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,269
- 5,176
Hip Hop na moja ya mziki ambayo hukememea uovu pale unapotokea kwenye jamii.Kuna wasanii maarufu ambao tumewashuhudia awamu ya Nne wakiikosoa serikali bila kuogopa mkono wa dola kama vile ROMA, KALA JEREMIAH. Lakin kuna tetesi kwamba hawa washapata warning ya mzee wa CHATO tena strong warning.
Maana siyo rahisi hawa wazalendo kukaa kimya hata issue ya vyeti feki vya Bashite
Maana siyo rahisi hawa wazalendo kukaa kimya hata issue ya vyeti feki vya Bashite