Albam mpya ya aic-chang'ombe

Albam mpya ya aic-chang'ombe

STEPHEN JIBE

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
61
Reaction score
9
Habar wadau,
aic chang'ombe ni moja ya kwaya ya nymbo za injil ambayo albam zake tatu zilizopita zinafanya vizur sokon had leo
1.VUNJA
2.GUSA(2006)
3.MPINGA KRISTO(2009)
naulze je wametoa albam nyngne zaid ya hzo hapo?
maana nina hamu nazo
Msaada
 
Kuna hii mpya waliyotoa mwaka huu, mwenye hizo audio tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom